Winga wa Tanzania, Simon Msuva akiichezea klabu yake mpya, Difaa Hassan El Jadida katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Club Athletic Youssoufia Berrechid jana mjini Jadida, Moroocco
Simon Msuva akijaribu kumfunga kipa wa CAYB jana mjini Jadida katika mchezo wa kirafiki
Msuva jana alivaa jezi namba 77 baada ya kuvaa jezi namba 22 kwenye mchezo wa kwanza


0 comments:
Post a Comment