Roberto Firmino akiifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 52 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Swansea City usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Firmino alifunga pia dakika ya 66, wakati mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya sita, Trent Alexander-Arnold dakika ya 65 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment