NEEMA ZAIDI ZANZIBAR HEROES, WAPEWA MAMILIONI MCHANA KWEUPEE
Mchezaji wa zamani wa klabu za Chipukizi SC na Shangani FC, Mohammed Abbas (kushoto), akimkabidhi mchezaji wa timu ya Taifa Zanzibar (The Zanzibar Heroes) Mudathir Yahya, fedha shilingi milioni 3.3 zilizochangwa na klabu ya wapenzi wa Zanzibar Heroes tangu timu hiyo ikiwa Kenya kwenye mashindano ya CECAFA Challenge Cup 2017 ambapo Zanzibar ilitinga fainali na kufungwa na Harambee Stars kwa mikwaju ya penelti baada ya sare ya 2-2 ndani ya dakika 120. Makabidhiano hayo yakifanyika viwanja vya Forodhani yakiambatana na burudani mbalimbali. (Picha kwa hisani ya Zanzibar Heroes Fans Club).
0 comments:
Post a Comment