Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akifanya mazoezi kikamilifu na timu yake jana baada ya kufanya peke yake mazoezi mepesi Jumatano na Alhamisi kutokana na maumivu aliyoyapata kwenye fainali ya Klabu Bingwa ya Dunia wakiifunga 1-0 Gremio mjini Abu Dhabi wiki iliyopita. Ronaldo sasa anatarajiwa kucheza dhidi ya Barcelona leo jiioni Uwanja wa Santiago Bernabeu katika mchezo wa La Liga PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment