Sergio Aguero akiifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 27 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya AFC Bournemouth leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Aguero alifunga na la tatu dakika ya 79 na kufikisha mabao 100 katika timu hiyo wakati mabao mengine yalifungwa na Raheem Sterling dakika ya 53 na Danilo dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
22 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment