TIMU YA TAIFA YA UFUKWENI IKIJIFUA COCO KUJIANDAA NA MASHINDANO
Timu ya Taifa ya Beach Soccer inaendelea na mazoezi kwenye Ufukwe wa Coco kujiandaa na mashindano ya kimataifa ya Copa Dar Es Salaam yatakayofanyika Desemba 25-26 mwaka huu kwenye Ufukwe wa Coco.
0 comments:
Post a Comment