Kipa wa Green Warriors, Shaaban Dihile akitembea kibabe jana wakati wa mchezo wa hatua ya 64 Bora ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam dhidi ya waliokuwa mabingwa watetezi, Simba SC. Dihile alidaka kwa ustadi mkubwa ndani ya dakika 90 timu hizo zikitoka sare ya 1-1 tena Simba wakisawazisha kwa penalti kipindi cha pili kabla ya Warriors ya Daraja la Pili kwenda kushinda kwa penalti 4-3 na kuwavua ubingwa Wekundu wa Msimbazi
Who do fans think is the key player in each Premier League team?
-
From the "soul of the team" to an "absolute warrior", here are the Premier
League's 20 key players, as chosen by our fan writers.
41 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment