Roberto Firmino akiifungia bao la kusawazisha Liverpool dakika ya 71 ikitoa sare ya 3-3 na wenyejin Arsenal Uwanja wa Emirates usiku wa Ijumaa katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Liverpool walianza vizuri na kuongoza kwa mabao 2-0 ya Philippe Coutinho dakika ya 26 na Mohamed Salah dakika ya 52, kabla ya Arsenal kutoka nyuma na kuongoza kwa 3-2 kwa mabao ya Alexis Sanchez dakika ya 53, Granit Xhaka dakika ya 56 na Mesut Ozil dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Miyu Yamashita holds off Charley Hull to win first major at Women's Open
-
Home favourite came agonisingly close
32 minutes ago
0 comments:
Post a Comment