Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao pekee la ushindi dakika ya 30 akimalizia pasi ya Kevin De Bruyne wakiichapa 1-0 Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa St. James' Park na huo unakuwa mchezo wa 18 mfululizo timu ya Pep Guardiola inashinda katika Ligi Kuu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
17 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment