Refa Mike Dean akipuuza malalamiko ya beki Mholanzi wa Manchester United, Daley Blind usiku wa Jumatano katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England dhidi ya wenyeji, timu ya Daraja la Kwanza, Bristol City Uwanja wa Ashton Gate. Bristol imeshinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Joe Bryan dakika ya 51 na Korey Smith dakika ya 90 na ushei, wakati la United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 58 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
18 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment