Mshambuliaji wa Simba SC, John Bocco (kushoto) akiwa anagaa gaa chini pamoja na mchezaji wa Kagera Sugar, Pastory Athanas katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Kaitaba Bukoba, Simba ilishinda 2-0
Mshambuliaji wa Simba, John Bocco akiwa ameruka juu kuwania mpira na beki wa Kagera Sugar Uwanja wa Kaitaba
Kiungo wa Simba, Said Ndemla akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza jana
Mshambuliaji Mganda, Emmanuel Okwi akikimbia dhidi ya beki wa Kagera Sugar, Juma Nyosso
Kikosi cha Kagera Sugar kabla ya mchezo wa jana
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana
0 comments:
Post a Comment