Nyota wa Chelsea, Pedro akipiga kibendera cha kona kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili na la ushindi dakika ya 105 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Robo Fainali Kombe la FA England leo Uwanja wa King Power mjini Leicester. Alvaro Morata alianza kuifungia Chelsea dakika ya 42, kabla ya Jamie Vardy kuisawazishia Leicester City dakika ya 76 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The final year of The Hundred as we know it?
-
The fifth edition of The Hundred will begin with big-name additions - but
private investment means there could be major changes in 2026.
5 minutes ago
0 comments:
Post a Comment