SAMATTA ALIVYOWASILI ALGIERS KUJIUNGA NA TAIFA STARS LEO
Balozi wa Tanzania nchini Algeria, Omar Yussuf Mzee (kushoto) akimpokea Nahodha wa timu ya soka ya taifa, Taifa Stars Mbwana Samatta alipowasili jioni ya leo Uwanja wa Ndege wa Algiers tayari kwa mchezo wa kirafiki wa kimataifa Algeria vs Tanzania utakaochezwa Alhamisi
0 comments:
Post a Comment