Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akijinyoosha kwenye mazoezi ya timu yake ya taifa jana kujiandaa na mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Uholanzi Uwanja wa Geneva nchini Uswisi baada ya Ijumaa kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za mwisho timu yake ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Misri PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Moment motorbiking ace Marc Marquez suffering spectacular cartwheeling Moto
GP crash as he breaks foot when thrown off bike
-
The 33-year-old Spaniard was launched into the air after losing control at
Turn 14 on the penultimate lap, with his Ducati machine somersaulting
across the...
14 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment