MZEE MAKAMBA ALIUTAMBUA MCHANGO WA YAMUNGU RELI MOROGORO ENZI HIZO KIBOKO YA VIGOGO
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Luteni Mstaafu Yussuf Makamba akisalimiana na shabiki maarufu wa Reli ya Morogoro ‘Kiboko ya Vigogo’, Clarence Kisogo ‘Yamungu’ (sasa marehemu) kabla ya moja ya mechi za timu hiyo Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro mwaka 1989
0 comments:
Post a Comment