Bondia bingwa wa dunia wa uzito wa juu, Anthony Joshua ameposti picha hii ya vyakula anavyokula kama vinavyoonekana, ambavyo pia vimeandikwa juu ya picha kulia. Joshua atapanda ulingoni Machi 31 kupigana na bingwa mwenzake wa uzito wa juu, Joseph Parker mjini Cardiff katika pambano la kuunganisha mataji PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Where to watch Dallas Wings vs. Indiana Fever: Live stream, start time, TV
channel for Saturday, May 9
-
Caitlin Clark and the Fever open the season against the Wings.
11 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment