Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Ubelgiji dakika za 19 na 39 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Saudi Arabia kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Roi Baudouin mjini Bruselles. Mabao mengine yamefungwa na Michy Batshuayi dakika ya 77 na Kelvin De Bruyne dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
Excavator brings down building in controlled demolition
                      -
                    
On October 29, 2025, in Sichuan, China, a video captured an excavator 
drilling into a building as it was demolished. Water was sprayed to 
suppress dust, cr...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment