Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kulia) akizungumza na Wahariri wa vyombo vya Habari leo asubuhi katika hoteli ya SeaScape, Kunduchi, Dar es Salaam leo. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Wilfred Kidau
Rais Wallace Karia akichanganua mambo kwa umakini mbele ya Wahariri leo
Dua maalum ya kumuenzi aliyekuwa Mhariri wa Redio Uhuru, Limonga Justin kabla ya kuanza mkutano huo leo
Wahariri Zena Chande wa Habari Leo (kulia) na Grace Hoka wa Bingwa (kushoto) wakiandika hotuba ya Rais Wallace Karia
Mhariri wa Azam TV, Philip Cyprian akiwa kazini
Wahariri mbalimbali wa vyombo vya Habari wakiwa kazini leo
De'Aaron Fox set to sign eye-watering $229m contract as he becomes one of
league's top earners
-
An NBA star has agreed to an eye-watering maximum contract extension with
the Spurs, according to a report.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment