Mashabiki wa Liverpool wakinywa pombe kwa furaha mjini Roma, Italia jana baada ya kuwasili kuisapoti timu yao katika mchezo wa leo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, Roma. Liverpool ilishinda 5-2 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Anfield, ushindi ambao wanatakiwa kuulinda katika mchezo wa leo Uwanja wa Olimpiki PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wednesday, May 02, 2018
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment