HIGUAIN ATUA AC MILAN KWA MKOPO KUMPISHA RONALDO JUVEGonzalo Higuain akiwa amepozi na jezi ya AC Milan kuelekea kufanyiwa vipimo vya afya kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa mkopo wa muda mrefu wa msimu timu hiyo kutoka Juventus, zote za Italia. Juve inamuacha Higuain baada ya kumnunua Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo kwa Pauni Milioni 100 kutoka Real Madrid ya Hispania PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants ace Logan Webb goes on 15-day IL with right knee bursitis, ending
consecutive start streak
-
Webb has made 156 consecutive starts for the Giants, dating back to 2021.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment