NYOTA WA SIMBA SC 2000, SAID MAULID, KETTO NA MNENGE SULUJA
WACHEZAJI wa Simba SC kutoka kulia, Said Maulid ‘SMG’, Wycliff Ketto na Mnenge Suluja kabla ya moja ya mechi za Ligi Kuu ya Tanzania Bara za timu hiyo mwaka 2000 Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru) mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment