ALLY MOPELO, GODFREY KUKIMBIZI NA DOYI MOKE MAJIMAJI 1998
Wachezaji wa Maji Maji ya Songea mkoani Ruvuma walioisaidia timu hiyo kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Muungano mwaka 1998 kutoka kulia ni mshambuliaji Godfrey Kikumbizi, kipa Doyi Moke raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na kiungo Ally Mopelo kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1998
0 comments:
Post a Comment