Wachezaji wa Aston Villa wakishangilia baada ya kuifunga 2-1 Derby County usiku wa jana Uwanja wa Wembley katika mechi ya fainali ya mchujo wa kupanda wa Ligi Kuu England. Mabao ya Villa inayorejea Ligi Kuu tangu ishuke mwaka 2016 yamefungwa na Anwar El Ghazi na John McGinn huku la Derby County likifungwa na Jack Marriott PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
23 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment