Mshambuliaji Mbrazil, Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la kwanza dakika ya 20 ikiilaza Angers 2-1 katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Raymond-Kopa mjini Angers. Bao la pili la PSG lilifungwa na Angel Di Maria dakika ya 58 wakati la Angers lilifungwa na Flavien Tait dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
21 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment