Wachezaji wa Real Madrid wakiwa kimya kwa dakika moja kutoa heshima zao za mwisho kwa kipa wa zamani wa klabu hiyo, Andres Avelino Junquera aliyefariki dunia Mei 6. Hiyo ilikuwa ni kabla ya mchezo wao wa mwisho wa La Liga jana Uwanja wa Bernabeu wakifungwa 2-0 na Real Betis, mabao ya Loren Moron na Jese PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment