Mshambuliaji wa Leicester City, Jamie Vardy akiwa hewani kupiga mpira kichwa dhidi ya wachezaji wa Chelsea katika mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa King Power timu hizo zikitoka sare ya 0-0. Kwa sare hiyo, Chelsea inamaliza nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu na pointi zake 72, moja zaidi ya Tottenham Hotspur waliomaliza nafasi ya nne PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Visually impaired bowler says the sport saved him
-
Ron Homer began playing the game after losing his sight, job, and driving
licence in his mid-40s.
4 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment