VITUO VINAVYOUZA TIKETI ZA MECHI YA YANGA NA PRISONS ITAKAYOCHEZWA JUMAPILI DAR
JINSI ya kupata tiketi za mchezo wa Yanga na Tanzania Prisons, utakachezwa siku ya Jumapili Saa 1:00 usiku kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa. Kwa kiingilio cha mzunguko Shilingi 5,000, Vip B & C shilingi 10,000, Vip A Shilingi 15,000.
0 comments:
Post a Comment