• HABARI MPYA

    Monday, October 12, 2015

    UJERUMANI YAICHAPA 2-1 GEORGIA KUFUZU EURO 2016

    Mfungaji wa bao la ushindi la Ujerumani katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Georgia usiku wa jana, Max Kruse akipongezwa na wenzake. Bao lingine katika mchezo huo wa Kundi D kufuzu Euro 2016 Ufaransa lilifungwa na Thomas Muller. PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: UJERUMANI YAICHAPA 2-1 GEORGIA KUFUZU EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top