• HABARI MPYA

    Monday, October 12, 2015

    GIROUD APIGA ZOTE MBILI, UFARANSA YAICHAPA DENMARK 2-1

    Mshambuliaji Olivier Giroud (9) akipongezwa na wenzake baada ya kufunga mabao yote ya Ufaransa katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Denmark usiku wa jana. Bao la Denmark lilifungwa na Erik Sviatchenko PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GIROUD APIGA ZOTE MBILI, UFARANSA YAICHAPA DENMARK 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top