MAANDALIZI YA KISAYANSI, SIMBA SC HAO KAMBINI MOROGORO
Wachezaji wa Simba SC wakiogelea katika bwawa la kuogelea la Chuo cha Biblia, Bigwa mjini Morogoro ambako waliweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga SC kesho Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment