ALI KIBA ALIPOWAPONGEZA YANGA KUTINGA MAKUNDI AFRIKA
Mwanamuziki nyota wa Tanzania, Ali Kiba (mwenye kofia) akiwa na wachezaji wa Yanga SC Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam jana wakati timu hiyo ilipowasili kutoka Angola ambako iliitoa Sagrada Esperanca ya Angola na kukata tiketi ya kuingia hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika
0 comments:
Post a Comment