Nyota wa Manchester United, Jesse Lingard akikimbia kushangilia baada ya kuifungia timu yake bao la ushindi dakika ya 110 ikiilaza 2-1 Crystal Palace katika fainali ya Kombe la FA England iliyodumu kwa dakika 120 usiku huu Uwanja wa Wembley mjini London. Jason Puncheon alianza kuifungia Crystal Palace dakika ya 78 kabla ya Juan Mata kuisawazishia United dakika ya 81. United ilimaliza pungufu mechi hiyo, baada ya Chris Smalling kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 105 kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano kwa kumchezea rafu Yannick Bolasie PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Wolves pay tribute to Diogo Jota and his brother Andre Silva ahead of
friendly against Celta Vigo at Molineux
-
Wolves paid an emotional tribute to their former player Diogo Jota and his
brother Andre Silva ahead of their pre-season friendly against Celta Vigo
at Mol...
6 minutes ago
0 comments:
Post a Comment