Mshambuliaji wa Swansea City, Andre Ayew ambaye ni mtoto wa gwiji wa soka Afrika, Mghana Abedi Pele akishangilia baada ya kufunga mabao mawili jioni ya leo katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool Uwanja wa Liberty dakika ya 20 na 67. Bao lingine la Swansea limefungwa na Jack Cork dakika ya 33, wakati la kufutia machozi la Liverpool limefungwa na Christian Benteke dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, May 01, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment