Wachezaji wa Manchester City, Fernando (kushoto) na Pablo Zabaleta (kulia), wakimdhibiti Mesut Ozil wa Arsenal (katikati) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Etihad, Manchester, England. Man City ilishinda 2-1 mabao yake yakifungwa na Leroy Sane dakika ya 47 na Raheem Sterling dakika ya 71, baada ya Theo Walcott kutangulia kuifungia Arsenal dakika ya tano
Maddison to miss majority of season with torn ACL
-
Tottenham midfielder James Maddison will miss a significant period of the
2025-26 season with a torn anterior cruciate ligament injury.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment