BAO LIPI TAMU ZAIDI HAPA; LA MKHITARYAN AU GIROUD?
Kushoto ni Henrikh Mkhitaryan akiifungia Manchester United kwa staili ye Mende (scorpion kick) katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Sunderland Desemba 26 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford, lakini siku sita baadaye jana Olivier Giroud (kulia) ameifungia Arsenal bao kama hilo ikiifunga 2-0 Crystal Palace Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu pia. Je, bao la nani lilikuwa zuri zaidi?PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2027: ADC not chasing northern agenda – Spokesman
-
The African Democratic Party (ADC) has denied reports that it is pursuing a
northern agenda. ADC spokesman Bolaji Abdullahi, who appeared as a guest
spea...
0 comments:
Post a Comment