Olivier Giroud akifunga kwa kisigino kuipatia Arsenal bao la kwanza dakika ya 17 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao lingine la Gunners limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, January 01, 2017
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)



.png)
0 comments:
Post a Comment