Jamie Vardy akiruka juu kwa furaha kushangilia baada ya kuifungia Leicester City bao la tatu kati ya mawili aliyofunga dakika za 28 na 60 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Liverpool wa jana kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa King Power. Bao lingine la Leicester lilifungwa na Danny Drinkwater dakika ya 39, wakati la Liverpool lilifungwa na Philippe Coutinho dakika ya 68. Ushindi huo unakuja siku nne baada ya kufukuzwa kocha Claudio Ranieri PICHA ZAIDI GONGA HAPA
AFL club president confesses to hitting one of his team's all-time greats
with an astonishing F-bomb insult
-
Essendon president David Barham has admitted to the harsh exchange with a
premiership-winning hero and hall of famer.
5 minutes ago
0 comments:
Post a Comment