Wachezaji wa Arsenal, wakimpongeza mwenzao, Lucas Perez baada ya kufunga bao la kwanza dakika ya 26 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Sutton United kwenye mchezo wa Raundi ya Tano Kombe la FA England usiku wa jana Uwanja wa The Borough Sports Ground mjini Sutton, Surrey. Bao la pili la The Gunners lilifungwa na Theo Walcott dakika yake 55, ambalo linakuwa bao lake la 100 tangu ajiunge na Washika Bunduki hao, ambao sasa watamenyana na Lincoln City katika Robo Fainali Uwanja wa Emirates PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Minnesota visits Seattle, seeks 25th victory this season
-
Minnesota Lynx (24-5, 16-2 Western Conference) at Seattle Storm (16-13, 9-7
Western Conference)
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment