Cristiano Ronaldo akiwa ameanguka mbele ya beki wa Valencia, Eliaquim Mangala katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumatano Uwanja wa Mestalla mjini Valencia wenyejinwakishinda 2-1. Mabao ya Valencia yalifungwa na Simone Zaza dakika ya nne na Fabian Orellana dakika ya tisa, wakati la Real lilifungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 44 akicheza mechi ya 700 tangu ajiunge na timu ya Madrid kutoka Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Yankees fans demand Aaron Boone is fired as season hits new low and stands
of the brink of catastrophe
-
New York Yankees fans are demanding Aaron Boone is fired as season hits a
new low and stands of the brink of catastrophe following the franchise's
sweep at...
16 minutes ago
0 comments:
Post a Comment