Nyota wa Tottenham Hotspur, Dele Alli akiangalia juu kwa masikitiko wakati anatoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu dakika ya 39 kwa kucheza rafu katika mchezo wa marudiano wa 32 Bora Europa League usiku wa jana Uwanja wa  Wembley mjini London wakilazimishwa sare ya 2-2 na Gent ya Ubelgiji. Mabao ya Spurs yalifungwa na Christian Eriksen dakika ya 10 na Victor Wanyama dakika ya 61, wakati ya Gent Harry Kane alijifunga dakika ya 20 na la pili akafunga Jeremy Perbet dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
How Athletic Club's unique player policy drives success
                      -
                    
BBC Sport visits Bilbao to explore Athletic Club's policy of fielding only 
Basque players, how this approach has brought success, and the importance 
of the...
7 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment