Wachezaji wa Italia wakifurahia baada ya ushindi wao wa 1-0 dhidi ya Albania usiku wa jana Uwanja wa Loro Borici mjini Shkoder kwenye mchezo wa Kundi G kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi, bao pekee la Antonio Candreva dakika ya 73. Hata hivyo, Itali italazimika kucheza mechi mbili za mchujo kuwania nafasi ya kwend Urusi, baada uya kumaliza nafasi ya pilki kwenye Kundi lake nyuma ya Hispania wanaofuzu moja kwa moja. The Azzuri watawajua wapinzani wao katika ratiba itakayopangwa Jumanne mjini Zurich, Uswisi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Salt & Brook set up impressive England win over NZ
-
England crush New Zealand by 65 runs in the second T20 in Christchurch to
give the tourists a 1-0 series lead with one match to play.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment