James McClean wa Jamhuri ya Ireland akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 57 ikiwalaza wenyeji, Wales 1-0 katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika jana Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff. Na kwa ushindi huo, Wales inafuzu Kombe la Dunia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Kansas City Chiefs Super Bowl winner Warren McVea dies at age of 79
-
The speedy running back was the first Black player to receive a football
scholarship to a major Texas school and later helped Kansas City win its
first Sup...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment