Nyota wa Misri, Mohamed Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao manne dakika za nne, 43, 77 na 85 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Bao lingine limefungwa na Mbrazil Roberto Firmino dakika ya 49 na sasa Wekundu hao wanafikisha pointi 63 baada ya kucheza mechi 31 katika nafasi ya tatu kwenye msimamo, nyuma ya Manchester zote, United pointi 65 na City 81 ambazo hata hivyo zimecheza mechi 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Bristol sign Wales' Rees-Zammit on rugby union return
-
Bristol sign Wales winger Louis Rees-Zammit for the 2025-26 Prem Rugby
season following his return to rugby union from NFL.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment