MABINGWA WATETEZI REAL MADRID WASHINDA 3-0 GLASGOW
MABINGWA watetezi, Real Madrid wameanza vyema Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya ushindi wa 3-0 katika mchezo wa Kundi F Uwanja wa Kundi F Uwanja wa Venue Celtic Park Jijini Glasgow. Mabao ya Real Madrid yamefungwa na Vinicius Jr dakika ya 56, Luka Modric dakika ya 60 na Eden Hazard dakika ya 77.
0 comments:
Post a Comment