Beki chipukizi Mtanzania, Emil Mgeta akiwa amejipumzisha huku akicheza na laptop yake kufuatia kuumia kifundo cha mguu katika mazoezi ya klabu yake, Neckarsulm Sports Union ya Daraja la Nne Ujerumbani. Mgeta aliyekwenda huko akitokea timu ya vijana ya Simba SC, maarufu kama Simba B, anatarajiwa kuwa nje kwa wiki mbili.
Angel Reese stuns in houndstooth matching jacket and mini skirt for Atlanta
Dream debut
-
Angel Reese was traded to the Atlanta Dream in last month.
15 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment