'MAFUNDI' WA ZAMANI WANAPOKUTANA...WALIKUWA WANAJADILI NINI HAPA?
Wachezaji wa zamani wa kimataifa nchini, viungo Wilfredy McGudtine Kidau (kulia), Waziri Omar Mahadhi (katikati) na mshambuliaji Jemadari Said Kazumari (kushoto) wakizungumza baada ya kukutana Uwanja wa Karume juzi wakati wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Kidau aliyecheza Simba SC, Waziri aliyewika Yanga SC na Jemedari aliyeng'ara Kariakoo United ya Ulindi wote waliyokea sekondari ya Makongo, Dar es Salaam. Kidau kwa sasa ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Jemadari ni Ofisa wa TFF, wakati Waziri ni kocha wa Abajalo FC ya Sinza kwa sasa.
Ogun donates land to FG to develop inland dry port
-
From Idu Jude, Abuja The Government of Ogun State has donated over 130
hectares of land to the federal government of Nigeria for the development
of an in...
0 comments:
Post a Comment