Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu peke yake Southampton dakika za 28, 57 na 68 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya Manchester City Uwanja wa St. Mary's katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa leo. Bao lingine la Watakatifu limefungwa na Shane Long dakika ya 25, wakati ya City yamefungwa na Mnigeria Kelechi Promise Iheanacho dakika za 44 na 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Giants ace Logan Webb goes on 15-day IL with right knee bursitis, ending
consecutive start streak
-
Webb has made 156 consecutive starts for the Giants, dating back to 2021.
8 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment