Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kulia) akimtoka beki wa Zorya Luhansk ya Ukraine, Mikhail Sivakov anayejaribu kucheza rafu katika mchezo wa Kundi A Europa League usiku huu Uwanja wa Old Trafford. United ilishinda 1-0 bao pekee la Ibrahimovic dakika ya 69 akimalizia kazi nzuri ya Nahodha, Wayne Rooney PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment