Karim Benzema na Cristiano Ronaldo wakiwa wamepagawa baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na Villarreal nyumbani Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa La Liga wakishindwa kuendeleza wimbi la ushindi. Sergio Ramos alisababisha penalti iliyowapa Villarreal bao la kuongopza dakika ya 45 lililofungwa na Bruno Soriano, lakini akaisawazishia Real Madrid dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
CCTV appeal after man stabbed in suspected robbery
-
A 40-year-old man was seriously injured and taken to hospital following the
attack on Thursday night.
20 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment