Moussa Dembele (kulia) akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Celtic katika sare ya 3-3 na Manchester City katika mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ukaya usiku huu mjini Glasgow, Scotland. Bao lingine la Celtic limefungwa Raheem Sterling aliyejifunga wakati wa kuokoa na ya City yamefungwa na Fernandinho, Sterling na Nolito PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England may play two games away from Wembley at Euro 2028
-
Euro 2028 co-hosts England face playing one group match and a possible
last-16 game away from Wembley.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment